![I Found Love Acoustic](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/10/48e2c69b0d8147db8657de1b3657a13b_464_464.jpg)
I Found Love Acoustic Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2023
Lyrics
I Found Love Acoustic - Lady Jaydee
...
I found love, i found love
Haya sio mapenzi this is magic
I found love, i found love
Ata kueleza siwezi this is magic
If you love i love you too
Tushavuka mipaka
Ka kunipenda unanipenda tu
Na wala sina mashaka
Breakfast in the morning unanipa supu matata
Twende wote jikoni siagi bread nimepaka
You're my heart nakupenda zaidi
Nuru yangu pekee you're only i want today
Ooh momentait nakupenda zaidi
We ni wangu pekee you're only i want today
Nakupenda zaidi
We ni wangu pekee
Nakupenda zaidi
We ni wangu pekee
Popo lipopopo kalale nacho kidali pooh
Treat for me nirudishe utotoni
Popo tipolipo pembeni yako na mi nipo
Sikomi nirudishe utotoni
Kwanza ukiacha love si ni marafikii
Nisogezee huo mkono ni ushike waziba njia atupishe
Yanyuma ushasahau kwa mikiki mikiki
We ndo umefanya nifike leka kwa yaya chibite
You're my heart nakupenda zaidi
Nuru yangu pekee you're only i want today
Ooh momentait nakupenda zaidi
We ni wangu pekee you're only i want today
Popo lipopopo lipo popo
Popo tipolipo tipolipo