![Because of Love](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/10/48e2c69b0d8147db8657de1b3657a13b_464_464.jpg)
Because of Love Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Because of Love - Lady Jaydee
...
Because of love
Unaweza ukahisi mwili ka umepararaise
This is love you need to think twice
Na kuna mda utahisi ka upo paradise iiih
Because of love
Na kuna muda unajiuliza ulipokosea
Au kuna watu hawapendi
Ushadondoka huwezi ata kusogeaa
Because of love
Unajiuliza why in this world
Anakudanganya anakuchanganya
Na we ulitaka sweet sweet love
Because of love
Because of love
Because of love
Mnapendana mahaba mazito
Kila tukiwaona mnafuraha
Chumbani mnatupiana mito
Mnatamani mgandishe masaa
Tatizo si kutengeneza pendo kulinda upendo ndo shida
Na tatizo sio kupata kidonda na kupewa pole sio tiba
Unajiuliza why in this world
Anakudanganya anakuchanganya
Na we ulitaka sweet sweet love iih
Because of love
Because of love
Because of love
Because of love mmhh
Because of love
Unaweza ukahisi mwili ka umepararaise
Because of love
Na we ulitaka sweet sweet love