Siwezi Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Siwezi - Feza
...
Siwezi kuliwa mi sio easy
Yani kwa chipsi zako buku jero unataka unikule kweli (siwezi kuliwa)
Kavocha unatuma kajero na bado unataka unikule kweli (siwezi kuliwa)
Yamatumizi unanionga afutatu mi navaa ununui ata kiatu
Ulipo kodi hupo hupo tu unafoka unanijia juu
Eti na wewe umekuja na ranger unadhani nitaingia unikule (siwezi kuliwa)
Asa na wewe nimekusindikiza imekua sababu unikule (siwezi kuliwa)
Siwezi kuliwa mi sio easy
Siwezi kuliwa
Siwezi kuliwa
Gach kunipa beat moja tu imekua sababu unikule (siwezi kuliwa)
Kurequest mara moja tu umeanza usumbufu unikule (siwezi kuliwa)
Mmh prisentar umezira yani kupiga nyimbo unataka kunila (aaah wee)
Ndo yako dhamila kunipiga mapicha unataka kunila (aah wee)
Punguza hasira tushamuumiza ex unataka kunila (aah wee)
Tuliza mpira yani kwamba collabo husitake kunila
Siwezi kuliwa mi sio easy
......
Haunikuli leo haunikuli
Haunikuli mbaba haunikuli
Haunikuli leo haunikuli
Haunikuli mbaba haunikulii