![Ni Mkuu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/07/789e323e7dbc4927b6df571cf22828ad.jpg)
Ni Mkuu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2016
Lyrics
Ni Mkuu - Lady Bee254
...
Uuu uuu ,uuu uu
Uuu uuu,uuu uu
Nimeacha yote ya dunia nikufate Wewe Yesu wangu, Kwa kua Wewe njia ya kweli na uzima mokozi wangu×2
sitaogopa chochote mbele yangu maana ninawe Yesu ×2
nimeacha kuishi ndani ya dhambi mimi oooh, si ati kwasababu ninaweza lakini kwa sababu Yako, Yesu uu, Yesu uu,Yesu uuu,Yesu uu, Halleluyah aaah, Halleluyah ooh,Halleluyah aa,Halleluyah aa aa
Chorus
Alie ndani yangu ni Mkuu kuliko alie duniani, Alie ndani yangu ni Mkuu kuliko alie duniani, hee alie ndani yangu, eeh alie ndani yangu, alie ndani yangu ni mkuu kuliko alie duniani
Wengi waliliza nawezaje kuuka ndani ya Yesu, maswali mengi hapa na pale, eeh
hakuna niwezalo peke yangu lakini pamoja na Yesu, mi mshindi ee ee, mi mshindi ee, kujiachilia ndani mwake Yesu ananiongoza, jaribu Yesu leo, jaribu Yesu leo, jaribu Yesu leo utakua mshindi,
jaribu Yesu leo,utakua mshindi iii
Chorus
Alie ndani yangu ni Mkuu kuliko alie duniani, Alie ndani yangu ni Mkuu kuliko alie duniani, hee alie ndani yangu, eeh alie ndani yangu, alie ndani yangu ni mkuu kuliko alie duniani ×2