![Matunda With Rebecca Soki Kalwenze & Eunice Njeri](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/07/789e323e7dbc4927b6df571cf22828ad.jpg)
Matunda With Rebecca Soki Kalwenze & Eunice Njeri Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2016
Lyrics
Matunda With Rebecca Soki Kalwenze & Eunice Njeri - Lady Bee254
...
sio kwangu sio kwangu sio kwangu×2
utukufu wote ukurudie wewe
maana nataka nikae Kando Kando ya maji
kisima kisichonyauka bwana niwe kwako
nikiimba yesu utukufu ukurudie wewe
nikiwali bwana maombi uyasikie
majira yakija yesu nizae matunda
sikia ombi langu Leo naomba
nizae matunda kwa majira yake nisinyauke nitendaloo lifanikiwe×2
ulisema nikikaa ndani yako na neno lako ndani yangu chochote nitakacho kwako baba utanipa
ishara yami mfuasi wako uzao wa matunda yangu
mzabibu wa kweli Nami Ni matawi
nikiwa ndani yako nawe ndani yangu
nitazaa matunda nihubiri injili boea nikuimbie
nikikusemasema yesu mbegu yangu kwako
nizae matunda kwa majira yake nisinyauke nitendalo lifanikiwe×2
mti usiozaa matunda hukatwa na kutupwa Motoni
we yesu ninyunyuzie maji nisinyauke niyazae matunda
we yesu unijaze nguvu lazima niyazae matunda
nabota bamonga nayo yabolimo osantu yesu nangai ooyee
nizae matunda kwa majira yake nisinyauke nitendaloo lifanikiwe×2
uu mzabibu wa kweli umenichagua nizae matunda
ooo eea nisipozaa matunda Imani yangu ni bure Ni bure eee we
nizae matunda (nitendaloo lifanikiwe)×10