![Kwa Yesu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/07/789e323e7dbc4927b6df571cf22828ad.jpg)
Kwa Yesu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2016
Lyrics
Kwa Yesu - Lady Bee254
...
Haiyaya yaya eeh
uuuu
Wokovu unatoka kwa Yesu
hakuna mwingine
Mwanamke msamaria kisimani
alimpata Yesu amepoz pale,
alidhani Yesu mwanaume wa kawaidia
Maana alikua na wengine watono nyumbani, hakujua Yesu ndie mokozi,
hakujua, kiu kitamalizwa, Hakujua Yesu anamjua, Hakujia wokovu unatoka kwa Yesu uuu
Chorus
Wakovu unatoka kwa Yesu kwa Yesu
Wakovu unatoka kwa Yesu kwa Yesu
kama hukujua leo umejua aaah
njoo kwa Yesu, uokolewe
Njoo kwa Yesu uokolewe
njoo kwa Yesu uokolewe
njoo kwa uokolewe
Yesu msuluhishi wa agani jipya,
na kwa damu yake, ilio nyunyizwa
yazungumza, meema juu yangu
yazungumza msamaha juu yangu
yazungumza baraka juu yangu
Damu Yake sikama ya abeli
yazungumza meema juu yako
yazungumza ushindi juu yako
yazungumza wokovi juu yako oo
Chorus
Wakovu unatoka kwa Yesu kwa Yesu
Wakovu unatoka kwa Yesu kwa Yesu
kama hukujua leo umejua aaah
njoo kwa Yesu, uokolewe
Njoo kwa Yesu uokolewe
njoo kwa Yesu uokolewe
njoo kwa uokolewe
Yesu ni mwema, mwingine wa rehema
nahuruma, na huruma ni mvumilivu,na mwingi wa fadhili, ananipenda Yesu anakupenda,ananipenda Yesu anakupenda,ananipenda Yesu anakupenda
Chorus
Wakovu unatoka kwa Yesu kwa Yesu
Wakovu unatoka kwa Yesu kwa Yesu
kama hukujua leo umejua aaah
njoo kwa Yesu, uokolewe
Njoo kwa Yesu uokolewe
njoo kwa Yesu uokolewe
njoo kwa uokolewe ×1
Baba Mama Njoo kwa Yesu
Toto njoo kwa Yesu
Ndugu,dada njoo eeh anatupenda
sote kwa Yesu eeeh