![Hakuna Kama Wewe](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/07/789e323e7dbc4927b6df571cf22828ad.jpg)
Hakuna Kama Wewe Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2016
Lyrics
Hakuna Kama Wewe - Lady Bee254
...
Halleluyaaah, jina lako lipewe sifa milele
Halleluyaaah Yesu
Baba Yesu ulie mbinguni,
jina lako litukuzwe
Hakuna kama wewe, Mokozi wangu
Alfa na omega,mwanzo tena mwisho
Hakuna kama wewe,Mokozi wangu
unae nipenda,kanifilia aa aa
hakuna kama wewe, Mokozi wangu
ulie niokoa, mi kilikua mpotevu uu uu
Hakuna kama wewe Mokozi wangu
Uu kweli hakuna
Chorus
Hakuna kama wewe
Hakuna kama wewe
Hakuna kama wewe
Mokozi wangu ×2
Umejawa na reheema na neema
hakuna kama kama wewe, Mokozi wangu
uketie kitini cha enzi,viiumbe wanee wazunguka usiku na machana wasema mtakatifu,mtakatifu, mtakatifu
mwana kondoo wa Mungu aondoe dhambi za dunia, asante Mokozi kwa damu yako, umejawaa na reema na neema ,Hakuna kama wewe Yesu hakuna kama wewe
Chorus
Hakuna kama wewe
Hakuna kama wewe
Hakuna kama wewe
Mokozi wangu ×2
Halleluyaaah Yesu ×4
Uu
Ita Baba ×4
Uuu Roho, Roho Mtakatifu, Msaidizi wetu ×4
Uu Hossana, YAHWE, YAHWE, YAHWE, YAHWE