Me a BadMan Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2023
Lyrics
Me a BadMan - Iodine Kenya
...
Me a Badman Lyrics
Naenjoy my life sina noma
Wanna party tonight till dawn
We only live once mara moja
Wanna smoke×2 ata ndome
Maisha yangu uwezi shughulika na yakoo
Kabla ushindane nami rekebisha ya kwakoo
Coz me ..
Me a Badman×6
Me a badman×2
Kaka, ufagio safi, nimecheza kwangu
Kiatu me napiga tiki
Sheshe nimepiga kasheshe wanipiga
Shughuli zimejipa, kidungi bado sina
Nimetia fora, nani kama mimi
Pete kamvisha, Kitenge bado fananisha
Washaona gere me a badman
Navyio swag navyio talk me a bad
Look nayo piga pia safi man
Navyio flow navyio rhyme me a bad
Them call me fathera me a dad ×2
Naenjoy my life sina noma
Wanna party tonight till dawn
We only live once mara moja
Wanna smoke×2 ata ndome
Maisha yangu uwezi shughulika na yakoo
Kabla ushindane nami rekebisha ya kwakoo
Coz me ..
Me a Badman×6
Safi sana×2
Nala karanga
Nawakaranga
Sijikarangi
Nawaivisha
Wanalainika
Wote kwa sahani
Mimi uyo ndani
Nimesababisha (badman)
Navyio swag navyio talk me a bad
Look nayo piga pia safi man
Navyio flow navyio rhyme me a bad
Them call me fathera me a dad ×2
Naenjoy my life sina noma
Wanna party tonight till dawn
We only live once mara moja
Wanna smoke×2 ata ndome
Maisha yangu uwezi shughulika na yakoo
Kabla ushindane nami rekebisha ya kwakoo
Coz me ..
Me a Badman×6