![Witinesi](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/4C/42/rBEeNFnMq9OAdGRHAADD5n5bdWk282.jpg)
Witinesi Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2017
Lyrics
Baraka zako mingi nime Witinesi
Na miujiza yako nime Witinesi
Baraka zako mingi nime Witinesi
Na miujiza yako nime Witinesi
Mmmh ata wewe uta Witinesi
Mmmh ata wewe uta Witinesi
Mmmh ata wewe uta Witinesi
Mmmh ata wewe uta Witinesi
Siku hizi natesa
Kwa jina lake baba mi natesa ayayah
Kwa kanisa nakesha
Kukusifu kwangu sina pressure ayayah
Ndio maana naomba kila Monday to Sunday
Huku ni kujua eti someday
Nitaingia mbinguni niwe naye
Nimwabudu nimsifu milele
Vipofu wanapona
Viwete wanatembea
Maskini halali njaa
Nawagonjwa wanapona
Baraka zako mingi nime Witinesi
Na miujiza yako nime Witinesi
Baraka zako mingi nime Witinesi
Na miujiza yako nime Witinesi
Mmmh ata wewe uta Witinesi
Mmmh ata wewe uta Witinesi
Mmmh ata wewe uta Witinesi
Mmmh ata wewe uta Witinesi
Baba huwezi ni bore
Kila siku unanijaza
Wewe huchelewi no no
Nikikwama waniguza
Ndio maana naomba kila Monday to Sunday
Huku ni kujua eti someday
Nitaingia mbinguni niwe naye
Nimwabudu nimsifu milele
Vipofu wanapona
Viwete wanatembea
Maskini halali njaa
Nawagonjwa wanapona
Baraka zako mingi nime Witinesi
Na miujiza yako nime Witinesi
Baraka zako mingi nime Witinesi
Na miujiza yako nime Witinesi
Mmmh ata wewe uta Witinesi
Mmmh ata wewe uta Witinesi
Mmmh ata wewe uta Witinesi
Mmmh ata wewe uta Witinesi
My God my God my God
Nikulinganishe na nani
My Lord my Lord my Lord
Nikulinganishe na nani
Sababu tu ni wewe naomba
Sababu tu ni wewe naabudu
Sababu tu ni wewe naomba
Sababu tu ni wewe naabudu
Baba-ya baba-eh eh (Witinesi)
Wewe ni shujaa-eh eh (Witinesi)
Baba-ya baba-eh eh (Witinesi)
Wewe ni shujaa-eh eh (Witinesi)
Baraka zako mingi nime Witinesi
Na miujiza yako nime Witinesi
Baraka zako mingi nime Witinesi
Na miujiza yako nime Witinesi
Mmmh ata wewe uta Witinesi
Mmmh ata wewe uta Witinesi
Mmmh ata wewe uta Witinesi
Mmmh ata wewe uta Witinesi