Quran Lyrics
- Genre:Taarab
- Year of Release:2014
Lyrics
Quran - Johayna Abdallah
...
qur-an kitabu kitakatfu kisicho nashaka ndan yake×2
mola wetu mtukufu ameziweka Sheria zake×2
vp Leo time ihas Nan muongozo kwetu
maovu uenda kw Kasi
hii ni hasara kwetu×3
tazama maneno matakatifu muumba wetu ametushushia×2
haya ni maonyo Kwa watu viumbe tusije kuangamia×2
vp Leo time ihas Nan muongozo kwetu maovu uenda kw kas
hii ni hasara kwetu×3
qur-an ni njia iliyo nyooka tupite tusije tukapotea×2
tu
wallahi tutanusurka neema Allah atatuletea×2
vp Leo time ihas Nan muongozo kwetu
maovu uenda kw kas
hii ni hasara kwetu ×2
qur-an ni nguo ya muumini tuvae tusije kuhadhirka×2
tumuepuke shetan moton asije kutupeleka×2
vp Leo time ihas Nan muongozo kwetu maovu uenda kw kas
hii ni hasara kwetu ×3