Paula Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Mmmh Malimaway
Nba fortune bello it's your baby
Tukikosa hata viwali njegele
Tutakula ugali tembele
Ili siku nazo zisonge mbele nichange mahari nikuoe baby
Tukikosa hata viwali njegele
Tutakula ugali tembele
Ili siku nazo zisonge mbele nichange mahari nikuoe baby
Pete kwakidole chako ntakuvisha
Forever mi ni wako wa maisha
We post tu picha tuwakerekere killing them sha
Pete kwakidole chako ntakuvisha
Forever mi ni wako wa maisha
We post tu picha tuwakerekere killing them sha
Your my baby your my baby
Paula baby you drive me crazy
And this song i sing for you my lady usiniache moyo usiupige mjeledi
Your my baby your my baby
Paula baby you drive me crazy
And this song i sing for you my lady usiniache moyo usiupige mjeledi
Shape wema sepetu
Jicho hamisa mobetto
Karangi elizabeth michael paula
Moyo wangu wote wako
Shape wema sepetu
Jicho hamisa mobetto
Karangi elizabeth michael paula
Moyo wangu wote wako huu
Pete kwakidole chako ntakuvisha
Forever mi ni wako wa maisha
We post tu picha tuwakerekere killing them sha
Pete kwakidole chako ntakuvisha
Forever mi ni wako wa maisha
We post tu picha tuwakerekere killing them sha
You overdose me you overdose me girl you are too sabi girl you are too sabi now