Try Me Lyrics
- Genre:Spirituals
- Year of Release:2022
Lyrics
Try Me - Lgc Flavours
...
Try me, na baraka zako
Try me, na fanaka
Try me, na faraja zako
Na neema zako
Hata kama mali, nibariki nayo
Hata kama kisomo kizuri nibariki nacho
Hata kama mke mwema nibariki nae
Hata kama wana wazuri nibariki nao
Nilipozawa wokovuni ulinidekeza utotoni
Kunipa mengi mafundisho mwako darasani
Nilipozawa wokovuni ulinidekeza utotoni
Kunipa mengi mafundisho mwako darasani
Oohhh ni muda sasa nimekuwa, neno la kwako shaelewa
Kilichobaki nipatie mitihani daddy
Ni muda sasa nimekuwa, ruli za kwako shaelewa
Kilichobaki nipatie mitihani daddy sitofeli..
Try me try me papaa,
Nakuahidi sitofeli
Oohh try me try me daddy,
Nakuahidi sitofeli
Oohh try me try me Yesu,
Nakuahidi sitofeli
Hhmm try me try me papi oohh
Nakuahidi sitofeli...
Hata kama mali, nibariki nayo
Hata kama kisomo kizuri nibariki nacho
Hata kama mke mwema nibariki nae
Hata kama wana wazuri nibariki nao
Hata kama mali, nibariki nayo
Hata kama kisomo kizuri nibariki nacho
Hata kama mke mwema nibariki nae
Hata kama wana wazuri nibariki nao
Oohh Try me,
Nakuahidi sutofeli
Oohh try me try me daddy
Nakuahidi sitofeli
Oohh try me try me Yesu
Nakuahidi sitofeli
Hhmm try me try me papi oohh
Nakuahidi sitofeli
...........
Try me, na baraka zako
Try me, na fanaka zako
Try me, na faraja zakoo
Na neema zako
Try me, na baraka zako
Try me, na fanaka zako
Try me, na faraja zakooo
Na neema zakoooooooo...
Nakuahidi sitofeli
Aaaaaahhhhhhhh
Nakuahidi sitofeli
Jesus Jesus
Nakuahidi sitofeli
Jesus Jesus
Nakuahidi sitofeli
Ni muda sasa nimekuwa, neno la kwako shaelewa
Kilichobaki nipatie mitihani daddy
Ni muda sasa nimekuwa, ruli za kwako shaelewa
Kilichobaki nipatie mitihani daddy sitofeli......