![Jalali](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/20/e298547ef4a6435b90e50d90ee18771d_464_464.jpg)
Jalali Lyrics
- Genre:Spirituals
- Year of Release:2022
Lyrics
Jalali - Lgc Flavours
...
Waniambia sipendeki
Eti mimi na mapenzi 'futa na maji
Kunisimanga marafiki,
Hadi wale wa karibu sikutaraji
Waniambia sipendeki
Eti mimi na mapenzi 'futa na maji
Kunisimanga marafiki,
Hadi wale wa karibu sikutaraji
Kusema mimi ni mzigo,
Yaani kwa maisha yao jamaa mimi ni kero
Kupata tonge japo kidogo,
Jamani shida naulizeni seuze karo
Kusema mimi ni mzigo,
Yaani kwa maisha yao jamaa mimi ni kero
Kupata tonge japo kidogo,
Jamani shida naulizeni seuze karo
Hata wakinibeza(wangu Jalali)
Najua we hutonisusa(wangu Jalali)
Hata wakiniliza(wangu Jalali)
Najua we hutonitosa(Wangu Jalali)
Hata wakinibeza(wangu Jalali)
Najua we hutonisusa(wangu Jalali)
Hata wakiniliza(wangu Jalali)
Najua we hutonitosa(Wangu Jalali)
Aahh mimi zumbukuku,
Lisilo na kisomo mie laana
Nakosa hata buku,
. Na tamanio la kwangu maisha ya kufana
Mimi zumbukuku,
Lisilo na kisomo mie laana
Nakosa hata buku,
Na tamanio la kwangu maisha ya kufana
Nilikosea wapi, aahh
Nilikosea nani jamani
Nilikosea vipi, aahh
Nilikosea nani jamani
Nilikosea wapi, aahh
Nilikosea nani jamani
Nilikosea vipi, aahh
Nilikosea nani jamani
Hata wakinibeza(wangu Jalali)
Najua we hutonisusa(wangu Jalali)
Hata wakiniliza(wangu Jalali)
Najua we hutonitosa(Wangu Jalali)
Hata wakinibeza(wangu Jalali)
Najua we hutonisusa(wangu Jalali)
Hata wakiniliza(wangu Jalali)
Najua we hutonitosa(Wangu Jalali)
....................
Raha ya kwangu rabuka,
Unavyo vyote nilivyokosaga
Wangu mpenzi rabuka,
Unavyo vyote nilivyokosaga
Raha ya kwangu rabuka,
Unavyo vyote nilivyokosaga
Wangu mpenzi rabuka,
Unavyo vyote nilivyokosaga
Waniambia sipendeki
Eti mimi na mapenzi 'futa na maji
Kunisimanga marafiki,
Hadi wale wa karibu sikutaraji
Hata wakinibeza(wangu Jalali)
Najua we hutonisusa(wangu Jalali)
Hata wakiniliza(wangu Jalali)
Najua we hutonitosa(Wangu Jalali)
Hata wakinibeza(wangu Jalali)
Najua we hutonisusa(wangu Jalali)
Hata wakiniliza(wangu Jalali)
Najua we hutonitosa(Wangu Jalali)
...............