![Simpi Talaka](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/09/f9cbaa27313542fb93d4fd06f1460230_464_464.jpg)
Simpi Talaka Lyrics
- Genre:Amapiano
- Year of Release:2022
Lyrics
Simpi Talaka - Nedy Music
...
Siimpi talaka
Kwake sijiwezi simpi talaka
Siimpi talaka
Kwake sijiwezi simpi talaka
Ata awe chakubanga mtoko wake ni khanga (simpi)
Mumkute ana danga munione mi mshamba (simpi)
Kitandani awe gogo uwezo wake mdogo (simpi)
Muoneni ana nyodo ata awe na kichogo
Ananiamini na mi namuaminia ye ndo jembe langu
Ananifumania namfumania ila ndo wakwangu
Nikikukutanae ghetto nakutolea beto
Ukileta za kitoto tutapelekana centro
Simpi simpi simpi talaka simpi
Simpi simpi simpi talaka simpi
Siimpi talaka
Kwake sijiwezi simpi talaka
Siimpi talaka
Kwake sijiwezi simpi talaka
Ata mkimuona yuko na bwana msijisumbue kusema
Kwangu hajiwezi na mi siwezi sithubutu kumtema
Naahidi leo hii (simuachi)
Mi (simuachi)
Naahidi leo hii (simuachi)
Mi (simuachi)
Ananiamini na mi namuaminia ye ndo jembe langu
Ananifumania namfumania ila ndo wakwangu
Nikikukutanae ghetto nakutolea beto
Ukileta za kitoto tutapelekana centro
Simpi simpi simpi talaka simpi
Simpi simpi simpi talaka simpi
Siimpi talaka
Kwake sijiwezi simpi talaka
Siimpi talaka
Kwake sijiwezi simpi talaka
Regea regea regea ma sijiwezi
Regea regea regea ma ka mlevi
Siimpi talaka
Kwake sijiwezi simpi talaka