Mimi Na wewe Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Oooh! Oooh! {Monster!}
Hallo! Hallooo!
Halloooo! Enh! Anh!
{fujo on the mix}
Ooh! Ooo! Mashallah
Mungu amenijalia
Mungu amenipatia {dada wewe}
Leo allah mungu kantunukia
Mungu amenigawia {dada wewe}
Huna mfano waara
Sijuh nikuite nani
Jinsi ulivyo umbika dada wewe!
Jiachie mwaya uliposhika ongeza
Husije ukantelekeza dada wewe
Baby tu husije me ukanimwaga
Na mwenzako ntaumiaa!
Napenda unavyo kata kachili saga
Fanya kama unazamiaa!
Baby tu usije me ukani Mwaga
Na mwenzako ntaumiaa!
Napenda unavyo kata kachili saga
Fanya kama unazamiaa!
-Instrumental –
{mimi na weweeh!}
{usiniache mwenyeweeh!}
{usije fanya kama waleeh!}
{walo nifanya mi niumieeh!}
{mimi na weweeh!}
{usiniache mwenyeweeh OOH!}
{usije fanya kama waleeh!}
{walo nifanya mi niumieeh!}
{aaaaah!}
{ooooh!}
Wanayo sema sioni sisikii
Ety wanakusema we vibaya
Na nimeridhika na wewe
Ata wakikuita we malaya
Wanayo sema sioni sisikii
Ety wanakusema we vibaya
Na nimeridhika na wewe
Ata wakikuita we malaya
Ata wakimuita malaya {inawahusu nini}
Akiwa anadanga {inawahusu nini}
Ata akiniendea kwa mganga {inawahusu nini}
Nisha bwagaga manyanga nimezama penzini eenh!
Nyie sasa mtasema mpaka mtasubir eenh!
Mimi na yeye tu tuzikwe moja kaburi eenh!
Ona mtoto alivyo nona alivyo mzuri eenh!
Nashepu kampa mama ndomana nasubiri mienh!
We mama we mama weenh!
Usije ukaniacha mimi mienh!
We dada we dada weenh!
Mwenzako nakupenda sana mienh!
{mimi na weweeh!}
{usiniache mwenyeweeh!}
{usije fanya kama waleeh!}
{walo nifanya mi niumieeh!}
{mimi na weweeh!}
{usiniache mwenyeweeh!}
{usije fanya kama waleeh!}
{walo nifanya mi niumieeh!}
Aanh! Nikiwa ni Q Melody
Nikiwa na watoto wa vingweta
Aweeeh! Monster!!
Aah! Your respect Manager Pengo
Msalimie ivandick
Aah! Sajo enh!
Msalimie boka list
Awenh! Sk seveni
-Instrumental-
Basi twende
Hapo hapo sindwele!
Hapo hapo patamu
Hapo hapo usiguse
Hapo hapo piga magoti
Hapo hapo sindwele!
Hapo hapo patamu
Hapo hapo usiguse
Hapo hapo
Nikushike wapi {hapa}
Uwapi {hapa}
Bidada wapi {hapa}
Uwapi {hapa}
Nikuguse wapi {hapa}
Uwapi {hapa}
We dada wapi {hapa}
Uwapiii {aaanh!}
Aanh! Na tmt music brand
{TMT MUSIC}
{uuh!}
Kaduchu sela
Na Tebwa master
-Instrumental-