Night School Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Night School 🅴 - Nyashinski
...
The greatest!!! Yeah,wako night school wananistudy show nikipiga come through kuna maombitho time ikifika nikulight tu na kama iko mtu anauliza,niko high tu,come nairobi kusalimika kuongeza feeling kwa plan hiufanya akili inajam naingia venue na van natoka venue na bag daily nacount blessings hauwezi jua day yenye tables huturn narap na hunger ya upcoming ata ka upper ni me ndio nakaa mthamini nani ka mimii chorus mambo mbaya maverse mambo mbaya na bars na go harder than drugs i am larger than life,family wanaota vitu nshafanya twice au nilishaipata chance ni vile nilianalyse value niiikachorea kitu uangalii mister,your favourite wants a picture with shin,da vinchi siri nimeeka mingi kwa hii,shin city tunaspeak ni code lakini, tunaelewana unajua me si wa kujaribiwa niheshimu utaheshimiwa haribu utaharibiwa mjinga ndio hupandisiwa finger ni ya katikati kwa wale wanapinga najibanza chini ya maji nkipanga mikakati,Tshirt ni versace reverse hatuendangi,me sa nakula ka musician na si ju ya illuminati na sikukam kudilly dally ju kusota hiunipiss off ka inaninice round hii schagui na price cheki vile natupa madice,kwa hii casino inaitwa life ulisema siezi rudi,si unafaa uapologise i did it once,did it twice,hiyo staacha uminimize nashift culture kila saa namove(shincity) usiogope au sio already ju ukona mimi apa future ishaimprove(shincity) By IG@Kadamawe_Official