Kabla Tudie Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Kabla Tudie 🅴 - Nyashinski
...
Kabla Tudie
kama iko kitu unataka si useme
watu wakishikaga mkwanja na chanje
so niki niki umoka itabidi uelewe
si ati nko mbaya
ni vile ambition peke ndo hujua kufika huku niko tosheke
I'm sure inaweza make sense kwa ama mwere
maybe that's why kupata mwingine kama mimi utangoja milele
nani ndo kichwa na nani ndo mkia
wananiangalia na mi naona mbele naweza retire
ahhh
nishakupea ma memories
nishatawala kila category
na nisha make apa enough kwa gere
Kabla Tudie
kitu unataka si useme
kitu unataka si upewe
kitu unataka si u try ×2
ka ni buzz unadai inakujenga
jazi number ni 1 na bado nko ndani nachenga nliachanga kupiga round na pyenga nafunga window za gari na kyenga.
uaahhhh
mnajua nimekuaga ndenga atakama enzi za macidi chenja
nkiacha ata kesho watani remember unashika profesa wao
ahhh
ka show itaja ita dipend na
ahh
ka bado tunakupenda
ka so low hiyo weekend nao
uko wat si tu kaa kwa jam
ni mi tu nachagua kurap
Trust me commercial hits ninazo kwa chemba
na ka kupandisha ma temper na ma RNB
unaenda ku juma juma
Kabla Tudie
kitu unataka si useme
kitu unataka si upewe
kitu unataka si u try ×2