![Showman](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/17/0becdbb53ac14c5dbc0fa430e3028bee_464_464.jpg)
Showman Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Showman 🅴 - Nyashinski
...
(Verse 1)
Yeah,Ah,Naidu for the culture mimi,culture inacatch
Nishatoa masingle unataka project,yangu ni art
Yeah,yeah
'Chilla the prophet,nasema na unaona ikihappen
waah,waah
The better the concept,the brighter the likes,the bigger the show
Nakushow kitu new,na ntaneed unitrust,just once
Jua tu ka,naeza iduu,unaeza iduu,take chance
Na me kudeliver ni must,undercover na siezi relax
Zoezi piga na diet imatch
Mwezi mzima maveggie manyama,rodi kwa sana
Washasema we ni performer,asante ka already unaiona
Yeah this a toast to all of my day ones
My day ones,chungeni police mapedi wameingia kwa venue na trees
Already iko moshi inakuja na breeze,I love it
(Chorus)
And the Showman said,come see me live on stage
The night will be amazing,one you'll never forget
Its all for youu...uuh,i made this gift for you
Just to show I love youu.....uuh
I really do!!
(Verse 2)
Ah,Naidu for the culture mimi,culture inacatch
Nishatoa masingle,unataka album,yangu ni art
Lazima imarinate,ikitoka jikoni unasalivate
Ataka unachukia unashindwa kuhate
Umepanga missioni unafaa unitrace
Niko live,yeah
Na tisho ya white na manike,air
Na siku ya mine inacome,ngojea
ShinCity ni fyam,TOKEA
I'm the Mayor
Kitu you cant compare,stage ya mine na theirs,itakuwa ni so unfair
I'm aware,kitu nadu wanacopy and thats how i like it,yeah
I'm here to inspire you guys
Hii kiatu ni mbaya kiprice
Nilifyatu nikaamua kutry,vitu wanakataa kutry
(Chorus)
And the Showman says,come see me live on stage
The night will be amazing,one you'll never forget
Its all for you...uuhh
I made this gift for you,just to show I love you...uuhh