![Kifaa ft. Talia Rashi](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/04/20e1153ef6e943c2b2cef55b966b8386H3000W3000_464_464.jpg)
Kifaa ft. Talia Rashi Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2022
Lyrics
Usikuwe wa kuniacha kwa mataa
Mbele nyuma unajua we kifaa
Mi na wewe kuna vile inafaa
My heart is racing
Na ni wewe unafanya
Usikuwe wa kuniacha kwa mataa
Mbele nyuma unajua we kifaa
Mi na wewe kuna vile inafaa
My heart is racing
Na ni wewe unafanya
I've been wondering
Kama uko game twende
Game twende
Don't know this feeling
But najua am ready, am ready
Kwa mtaa wanasema we ni player
At the moment
I don't think ninacare
First of all ninakuanga mtu skeptic
Mambo yao mengi
Mi nafeel ni hectic
Baaaby
Imma keep this simple
For a minute there
Girl, you got me simping
Mi ni team player
Am a keeper
Nitakulinda
So you got no use for tinder
I got the same feeling
Yapita love ya shilling
If you ready then am ready
I got the same feeling
Yapita love ya shilling
If you ready then am ready
If you ready then am ready
Usikuwe wa kuniacha kwa mataa
Mbele nyuma unajua we kifaa
Mi na wewe kuna vile inafaa
My heart is racing
Na ni wewe unafanya
Love making
Soul shaking
Heart breaking
Yeah eh eh eh
Love making
Soul shaking
Heart breaking
Wanasema mi player
Are you sure they don't mean FIFA
Attention yangu mi sitawapea
We ni mhot wanipa fever
Na uko on demand
Kama tao, kuku na njiva
Na roho ikikataa
Waeza nipenda ata na Liver
Homeground aaaaaaaah
Wanajua nina kifaa
Na ni dem ako na heshima
Dem hawezi kunipima
Am assured kama bima
Am in love with this feeling
Sijai hisi hivi awali
Sidhani hii ni ajali
She's safe in my hands
Ukiuliza kama Atwoli
Am the one she loves
Na ukipenda tutamarry
She's safe in my hands
Ukiuliza kama Atwoli
Am the one she loves
Na ukipenda tutamarry
Usikuwe wa kuniacha kwa mataa
Mbele nyuma unajua we kifaa
Mi na wewe kuna vile inafaa
My heart is racing
Na ni wewe unafanya
Usikuwe wa kuniacha kwa mataa
Mbele nyuma unajua we kifaa
Mi na wewe kuna vile inafaa
My heart is racing
na ni wewe unafanya
Usiniache kwa mataa
Mbele nyuma we kifaa
Mi na wewe inafaa
Usiniache kwa mataa
Mbele nyuma we kifaa
Mi na wewe inafaa
Usiniache kwa mataa
Mbele nyuma we kifaa
Mi na wewe inafaa