
Home ft. Stamina & Dj Fetty Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Home ft. Stamina & Dj Fetty - Mo Music (TZ)
...
....
mambo vip na itwa DJ fetty
nacho amini
nyumbani ndo moyo wetu
uipo
Mo music featuring stamina
Mbona bado still I wondering
Hivi ni kweli mi na Rudi home
Nakuja tuonane in the comparison
I wish wote muwe ok
nyumbani kwetu ndio paradiso
kwenye hicho I'm visiting Home
narudi nyumbani nyumbani
ni zaidi ya machozi sikia eeh
Mtaani wengi mli wazima eeeh
nili sikia eeh sikia eeeh
mkataa kwao kweli mtumwa
Narudi nyumbani niliko zaliwa
nime miss Home nime nime miss Home
Ugenini kuna tabu huko kwenye milima na mikogo huko
kwenye milima ya mivinjeee kwenye Mawr ya maajabu
Narudi nyumbani niacheni I'm coming Home
ninge kuwa mgogo ningesema I'm coming jome
nyumbani ni nyumbani sijauwa kwetu