Unrealized Potential ft. Aliye & Gitonga Mukira Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Oh jah, checki vile wana tu gawa gawa
More cash, feast quench thirst na power power
Bila trust, youth clenched fist opportunity missed
Why lie, si u feel dissed na hii constant rough ride
The only time wali listen hizi streets zikua on fire
Hatuna desire ku replay zile horrific zili transpire
Ile kitu tuna lilia ni nafasi ya kufikia potential
Mbona mna recycle the same filth na garbage
Ona raia washachoka vile mnatu barrage na same baggage
Criss-crossing juu ya nation na chopper kuomba kazi
Wafanyikazi on ground wanakopa ku cope na high prices
Akiskia hodi ni ma sumbuko yea yea
Akiskia hodi ni ma sumbuko yea yea
Wanacheka wakiona uyu msupa tao anauza sup
Wanacheka wakiona uyu msupa tao anauza sup
Wanacheka wakiona uyu msupa tao anauza sup
Wanacheka wakiona uyu msupa tao anauza sup
Wacha ni stick to the game plan niwache complaining
Clearly manifesto hazina kasoro sifai kua na sorrow
Ju nina bright tomorrow nikisota nita borrow
Near future siendi ofisi juu nitafuga fuga fisi
On my wheel barrow with my three snake tuna whizz ndom for wisdom
Kwa mbosho na thao sita sitawi ration portions
Ile kitu tunalilia ni nafasi ya kufikia potential
Akiskia hodi ni ma sumbuko yea yea
Akiskia hodi ni ma sumbuko yea yea.
Wanacheka wakiona uyu msupa anauza tao sup