![Suluhu ft. Rama Dee](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/05/479f45eb8f6f48eb852b8a00403448b2_464_464.jpg)
Suluhu ft. Rama Dee Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2022
Lyrics
Suluhu ft. Rama Dee - Lady Jaydee
...
Mmmh Tanzania Tanzaniaa
Tanzaniaa mmh Tanzania ooh
Mama samia simamaa waoneshe watanzania we ndio mama ooh
Mama kiongozi simama waoneshe watanzania we ndio mwamba ooh
Mama samia simamaa uilete suluhu we ndio mama ooh
Mama taifa simama tuongoze watanzania we ndio mwambaa ooh
Samia samia simama
Uilete suluhu Tanzaniaa
Simama simama samia
Suluhu juu ya watanzania
Mitawalaa na busara ulionayo kwetu dhamana
Mama samia owee ni zaidi ya kurasa
Nasimama (ona wewe) kwa watanzania wewe
Ni adama ilioyahasiri
Mama samia mama samia (suluhu) mama samia mama samia
Waunganishe we unaweza we unaweza
Waunganishee
Waimarishe we unaweza we unaweza
Waimarishee
Samia samia simama
Uilete suluhu Tanzaniaa
Simama simama samia
Suluhu juu ya watanzania
Mama samia mama samia mama samia
Mama samia mama samia mama samia
Mama samia mama samia mama samia
Tanzaniaa