![Sasa Ni Wakati](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/31/247cb4c127864259bb463c32bbf43d7a_464_464.jpg)
Sasa Ni Wakati Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Skiza Sauti
Sasa ni wakati
Sasa ni wakati
Sasa ni wakati
Sasa ni wakati
Comfort Comfort
My people
Tell them that their warfare is ended
There is a time for war and a time for peace
This kind of peace now flows like a river
It is He
He makes wars to cease to the ends of the earth
Bwana wa majeshi
Jemedari
Generali
Ni ye jabali
Mwenye vita
Asiye shindwa
Imara mwamba
Ndiye nanga
Aah Aah Aaaah Aaaah
Ikiwa mwisho wa jambo ni bora kuliko mwanzo
Basi ye ndiye mwisho
Mwisho wa mawazo
Mawazo yana mwanzo
Mwanzo ni ye
Vita vimeisha sasa ni mwanzo
Wa amani
Amani bila mwisho
Mwisho wa upeo natazama
Naona kizazi kipya chainuka
Kizazi cha walio chanuka
Kizazi cha wajenzi wa mbingu na nchi mpya
Kizazi cha waanzilishi
Kizazi cha washindi
Washindi zaidi ya washindi
Wanakuja kwa mtindo mpya
Wanakuja kwa wimbo mpya
Wanakuja kwa sauti mpya
Hashtag skiza sauti
Toka jadi hadi jadi eeeeeh
Vita vimeisha
Sasa ni wakati
Wa urejeo
Sasa ni wakati
Mbingu mpya
Sasa ni wakati
Nchi mpya
Sasa ni wakati
Vita vimeisha
Sasa ni wakati
Wa kujenga
Sasa ni wakati
Mbingu mpya
Sasa ni wakati
Nchi mpya
Sasa ni wakati
Vita vimeisha
Nasi tumeshinda
Vita vimeisha
Nasi tumeshinda
Vita vimeisha
Nasi tumeshinda
Vita vimeisha
Nasi tumeshinda
Hapo mwanzo tuliskia sauti
Ikiita kutoka mbinguni
Wanajeshi mko wapi
Tuko ready
Mashujaa mko wapi
Tuko ready
Sasa huu ni ushuhuda
Kutoka vita
Tulipigana
Na tukashinda
Milima na mabonde sisi tulipita
Ushindi tukapata sisi tumeshinda
Mamlaka tumepata
Daraja tumepanda
Sisi ni washindi
Zaidi ya washindi
Tumeshinda
Yee yee
Tunaimba
Yee yee
Tumeshinda
Tumeshinda
Tumeshinda aaahhh
Vita vimeisha
Sasa ni wakati
Wa urejeo
Sasa ni wakati
Mbingu mpya
Sasa ni wakati
Nchi mpya
Sasa ni wakati
Vita vimeisha
Sasa ni wakati
Wa kujenga
Sasa ni wakati
Mbingu mpya
Sasa ni wakati
Nchi mpya
Sasa ni wakati
Vita vimeisha
Nasi tumeshinda
Vita vimeisha
Nasi tumeshinda
Vita vimeisha
Nasi tumeshinda
Vita vimeisha
Nasi tumeshinda
Amka kumekucha
Sasa ni wakati
Ondoka uangaze
Sasa ni wakati
Wakati ni wako
Sasa ni wakati
Wakati ni sasa
Sasa ni wakati
Amka kumekucha
Sasa ni wakati
Ondoka uangaze
Sasa ni wakati
Wakati ni
Sasa ni wakati
Wakati ni
Sasa ni wakati
Wakati ni sasaaaaa
Sasa ni wakati
Sasa ni wakati
Sasa ni wakati
Sasa ni wakati
Sasa ni wakati