Loading...

Download

#PowerUpYourLife na Tamasha la Muziki lahadhi ya juu linaletwa kwako na Boomplay na itelP55 Series!

'PowerUpYourLife na Tamasha la Muziki lahadhi ya juu linaletwa kwako na Boomplay na itelP55 Series!

Jitayarishe kwa tukio la muziki la kusisimua kwenye#PowerUpYourLife: Tamasha la Muziki la vyuoni limeandaliwa kwa ushirikiano wa Boomplayna itel. Jipange kwa tukio hili ambalo litakupa experience mpya ya chuo!


Boomplay, app ya muziki inayoongoza barani Afrika,inashirikiana na kampuni ya simu ya itel kuandaa tamasha la chuo la mwaka linalosubiriwa kwa hamu, litakalofanyika Jumamosi, Februari 3, 2024, katika Chuo Kikuu cha Dares Salaam.


Ushirikiano huu adhimu usio na kifani unatarajiwa kutoa sura mpya ya muziki ambayo haijawahi kutokea. Hili si tamasha pekee; ni muunganiko wa teknolojia ya hali ya juu na muzikiwenye msisimko, unayoashiria ushirikiano wa kwanza wa aina yake kati ya makampuni haya mawili yenye ushawishi.


Tukio hili linalofadhiliwa na itel, kampuni ya simu maarufu kwa upekee wake na uhakika, tukio hili litatoa fursa ya kufurahia bidhaa zake mpya, simu janja ya itel P55 Series na E1 Smart Watch. Simu ya P55+, ndio simu janja ya kwanza ya itel 45W inayochaji kwa haraka, ina betri inayodumu kukupa burudani yenye hadhi ya juu, na kuifanya kuwa chaguo bora kwa wanafunzi na wapenda muziki.

'PowerUpYourLife na Tamasha la Muziki lahadhi ya juu linaletwa kwako na Boomplay na itelP55 Series!

Jitayarishe kupata msisimko kwa tukio lisilosahaulika ambapo mapigo ya moyo ya kila mwanafunzi yataenda sambamaba na performances za kusisimua. Kaa tayari kwa tukio hilo litakaloundwa na safu ya wasanii mahiri kama vile Barnaba, Meja Kunta, Kontawa na wengine wengi.


Mpango huu ni ushirikiano wa kipekee ulioratibiwa ili kutia nguvu na kuwezesha; hivyo jitayarishe na kuchukua hatua tunapoanza safari yamuziki ambayo inataraji kubaki masikioni mwa watu kwa mwaka mzima.


Sasa, ili kuunda gumzo kwa Tamasha la Muziki la #PowerUpYourLife, chapa zote mbili zitashirikisha Chuo Kikuu cha Dar es Salaamna Chuo Kikuu cha Ardhi kwa wakati mmoja. Boomplay na itel watapatikana kwenyevyuo hivi kuanzia tarehe 29 Januari, 2024 mpaka tarehe 1 Februari, 2024. Njoo ujishindie zawadi za bure, na upate vibe kwenye vituo vyetu vyuoni.


Kaa tayari kuyapa hadhi maisha yako ya chuo kwa mchanganyiko wa muziki, teknolojia na matukio yasiyosahaulika. Jisajili hapa kwa taarifa zaidi kuhusu jinsi ya kununua tiketi zako tunapokaribia kwenye tukio adhimu litakaloutafsiri mwaka 2024.


#PowerUpYourLife #itelP55Series #itelE1SmartWatch

Comments (21)

0/500

    New Comments21

    Zacky bennie…

    na mimi mnipush jamen kwa boomplay ya nyumbani niko uganda ila na mimi nafanya mziki

    Ahmadaijecs

    T. Rr r is r

    Saybog Maker

    love

    lukboy_tz

    raise up the dreams of youngs

    TheReal_BarakaJohn

    ❤️❤️❤️

    Moise Juniorvqm91

    good duty !

    mjukuu wa Mkwawa OG

    lazima niwepo

    @InvestorOcent

    gr8

    Imanuel Ibrahim

    awesome

    Rehema Isaack

    ok

    171535406

    no body else like that

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234
            -You can log in via below methods-
            Reset password via e-mail
            -or-
            Reset password via e-mail
            Feedback on resetting password
            * It may take a longer time

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status