Loading...

Download

Boomplay yatoa msaada wa vifaa vya shule, mavazi na chakula vituo vya kulelea watoto Dar es Salaam

Miongoni mwa sifa njema za binadamu ni utu, ambao ndiyo chimbuko la mambo mengi mema na mazuri. Kutegemeana ndiyo sifa kubwa ya viumbe hai ambavyo Mungu ameviumba. Na hiki ndicho kilichosuka Kampuni ya Transsnet Music Tanzania Limited Boomplay kuamua kutembelea vituo mbalimbali vya watoto wenye uhitaji kwaajili ya kurudisha kwa kile ilichochuma kwa jamii maarufu kama Corporate Social Responsibility (CSR).

Vituo ambavyo Boomplay wametoa msaada ni Maunga Orphanage Center, Chakuwama Orphanage Center na Umra Orphanage Center, huku wasanii wawili ambao ni Obby Alpha na Taoo wakijumuika kwaajili ya kutoa faraja ya burudani watoto hao.

Boomplay wametembelea katika vituo hivyo na kugawa mahitaji mbalimbali yakiwemo mavazi, chakula na madaftari na kuwapa faraja kubwa watoto hao wanaolelewa katika vituo hivyo.

Zifuatazo ni picha mbalimbali zinazoonesha matukio ya ugawaji wa vifaa hivyo.

Boomplay yatoa msaada wa vifaa vya shule, mavazi na chakula vituo vya kulelea watoto Dar es Salaam
Boomplay yatoa msaada wa vifaa vya shule, mavazi na chakula vituo vya kulelea watoto Dar es Salaam

Boomplay yatoa msaada wa vifaa vya shule, mavazi na chakula vituo vya kulelea watoto Dar es Salaam

Boomplay yatoa msaada wa vifaa vya shule, mavazi na chakula vituo vya kulelea watoto Dar es Salaam
Boomplay yatoa msaada wa vifaa vya shule, mavazi na chakula vituo vya kulelea watoto Dar es Salaam
Boomplay yatoa msaada wa vifaa vya shule, mavazi na chakula vituo vya kulelea watoto Dar es Salaam

Comments (14)

0/500

    New Comments14

    Savage the horse

    Nzur sana hii

    IAMSURIGHT

    cool

    pizzo deejp66w

    hapo vizur san boom play

    167425707

    [0x1f605]

    167572362

    Image | Boomplay Music

    167572362

    [0x1f63e]

    167572362

    Image | Boomplay Music

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234
            -You can log in via below methods-
            Reset password via e-mail
            -or-
            Reset password via e-mail
            Feedback on resetting password
            * It may take a longer time

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status