Harmonize aja na Podcast 'Never Give Up'
Staa wa muziki anayefanya vizuri Tanzania na Afrika kwajumla, Rajab Abdul Kahali maarufu kama Harmonize ameamua kuja na Podcast yake inayofahamikakwa jina la ‘NEVER GIVE UP’ ambayo inapatikana kwenye app ya Boomplay pekee.
Kutokana na umaarufu wake, watu wengi wanamfahamu Harmonize,lakini kuna mambo mengi sana kuhusu historia ya maisha yake ambayo hayajawahikusikika au kuonekana mahali popote ama kwa maandishi, sauti au video.
Kwa kutambua umuhimu wa historia yake kwa watu wotewanaomfuatilia, Harmonize kwa kushirikiana na Boomplay ameweka mfufulizo wamasimulizi kwa njia ya sauti kuhusu maisha yake yote kweye podcast hiyo.
Unajua kwamba Harmonize amewahi kunyimwa mke ambayealikwamshamtolea mahar? Haya na mengine mengi utayapata kupitia podcast ya ‘NEVERGIVE UP’ kutoka kwa Harmonize.
Sikiliza podcast ya Harmonize ‘NEVER GIVE UP’ hapo chini kupitia Boomplay.
HARMONIZE PODCAST | Podcast | Boomplay
Comments (361)
Top Comments (7)
rashVina king
barakah joseph
hongera sana kwa bidii zak>
Muhuddin Merhart
[0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f606][0x1f606]>
New Comments(361)
ivona pendo egxfo
mambo
NationKid
good idea
musaqrdo2
mbna kucheki goma zako zinaa usumbufu kuzii onaa
salim ahmedi
kweli kaka
Bestray the One
Sanaaa miambaaa
kassim ramadhn
hamnaiz
Emanuel x84y4
single again
rj2436641
good
Deleted User
ccx ccx xbl
js kingmksxk
i like man
nyaso saed
❤️❤️❤️
pambana kiongozi achana na maneno ya watu>