Loading...

Download

Wasanii BSS waja na mikwaju mipya matata!

Wasanii BSS waja na mikwaju mipya matata!

Bongo Star Search ni miongoni mwa mashindano mahiri ya kusaka vipaji vipya vya muziki ambayo yamekuwa yakifanya vizuri kwa miaka mingi Tanzania na Afrika Mashariki.


Ni mashindano pekee yanahusisha kusaka vipaji vya muziki ambayo yamedumu kwa muda mrefu zaidi, huku yakivutia watu kutoka maeneo mbalimbali ya Tanzania na Afrika Mashariki.


Ushindani miongoni mwa washiriki huwa ni mkubwa sana kutokana na zawadi nono ambayo hupata baada ya mashindano kumalizika ikiwa ni pamoja na kupata fursa ya kurekodi wimbo bure.


Kwa kuona tija zaidi, msimu huu, waandaaji wa mashindano hayo wameamua kubadilisha utaratibu ambapo washiriki huimba nyimbo ambazo wametunga wao tu. Miongoni mwa wasanii ambao wamefanya nyimbo zao ni Cherry 'Humo Humo', Tgun Tozzy 'Ndotoni', Fonabo 'Sober', Petro Jailos 'Single Mama', Patrick Alsina 'Sondela', Neema Ntingonza 'Upo', Leonard Sunday 'Easy', na Asagwile 'Amba'


Cherry

Ameimba ngoma kali ambayo inafahamika kwa jina la Humo Humo. Sikiliza ngoma yake hapo chini;

Humo Humo

Tgun Tozzy

Ndotoni

Fonabo

Sober

Petro Jailos

Single Mama

Patrick Alsina

Sondela

Neema Ntingonza

Upo

Leonard Sunday

Easy

Asagwile

Amba

Comments (58)

0/500

    New Comments58

    Noonie de creator

    uhakikaaa saana

    Sigani Mwankunda

    p1

    Image | Boomplay Music

    Eliy Shao

    ndotooooo nyie kwenye ndoto

    Johanes Judex

    wote wakali. sio rahisi kufika hapo walipo kwa sasa

    Image | Boomplay Music

    JONAWISETZ

    Easy ndy habari ya mjini #Easy & #single mama

    133176802

    sigomaza

    Emanuel Shirimapo8k8

    nakubali sanaaaa Ngoma ya ndoto

    mashakajames

    sondela imetisha

    sultan3gqvd

    ndotoni kauwa san sharap kwa bss

    radhiag875r

    Tgun Rozzy

    Vivany06xy

    Ndotoni KSU’s

    Pili Mshanau4f8l

    @Dizzy dnru ndoton nom san

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234
            -You can log in via below methods-
            Reset password via e-mail
            -or-
            Reset password via e-mail
            Feedback on resetting password
            * It may take a longer time

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status