Shinda na #RaisWaKitaa, muulize Nay Wa Mitego chochote
Habari Boombuddies, hii hapa ni nafasi nyingine ya kujishindia zawadi kemkem na kuongea moja kwa moja na NAY WA MITEGO kupitia Boomplay!
Unachotakiwa kufanya ni kusikiliza ALBUM ya NAY WA MITEGO ambayo amewashirikisha Alikiba, AY, Marioo, Maua Sama, Shammy, Runtown, Mejja, Jux, Kellech Africa na utuachie maswali ukitumia hashtag #RaisWaKitaa kwenye sehemu ya kuweka maoni kupitia wimbo husika.
NAY WA MITEGO atachagua maswali ya nguvu Matano na kuyajibu.
Tu-follow kwenye akaunti yetu ya Instagram @boomplaymusic_tz kwa ajili ya kupata taarifa za Kampeni.
Jinsi ya kushiriki
1. Sikiliza album ya NAY WA MITEGO ‘Rais Wa Kitaa’.
2. Tembelea sehemu ya ku-comment na tuachie maswali kwa kutumia hashtag #RaisWaKitaa
Muda wa Kampeni
Septemba 26 – Oktoba 2
Zawadi: -
Pack ya Boombuddy yenye zawadi za Boomplay.
Kumbuka
1. Haki za mwisho za tafsiri ya Kampeni hii ni za Boomplay.
2. Washindi lazima wazingatie kanuni za kampeni, la sivyo zawadi zitakuwa batili.
3. Washindi watatangazwa ndani ya wiki moja baada ya kampeni. Boomplay itawasiliana na washindi wiki inayofuata na maelezo ya jinsi ya kupata zawadi zao.
4. Washiriki wote lazima wawe na akaunti ya Boomplay; Washindi watatangazwa kutokana na Boom ID zao.
5. Washindi watapokea ujumbe kupitia app kwaajili ya kutuma mawasiliano yao. Tunakushauri ujaze nambari za simu zilizopo kwenye profile yako ya Boomplay.
6. Kampeni hii inapatikana tu kwa watumiaji waliosajiliwa Tanzania pekee
Vigezo na Masharti kuzingatiwa
#RaisWaKitaa
Comments (88)
New Comments(88)
maarifa massawe
Buuza Mkushi
wakukaya mbozi tunakuelewa
0627710862
0627710862
kaka we nomaaa
barnastahb@BP
naweza pata suport ya ki muziki tokea kwakoo, naimba na niko na ngoma tayari #salut mkubwa
( Dube say) if you stand 4ther truth you will always stand alone.
SESEME MAKERw3rqz
tunajua kwamba ukweli unaponya lakini kwetu ukweli unauwa broo"sauti ya....
Ibrahim bigirwa888
broo big up kwakoo
Martin daniford Yohana
kaka unajua mpaka unakera nakubali
kelviwear
we nisoja
young t3ed5
ukiuliza mbon hajibu
Dorcas Abdi
kak vp