#BoomplayAwards: Darassa alamba tuzo Boomplay
Rapa anayefanya vizuri nchini Tanzania Darassa amefanikiwa kupata tuzo kutoka Boomplay baada ya wimbo wake wa 'I Like It' aliomshirikisha Shoe Madjozi kufikisha streams milioni moja kwenye app ya Boomplay.
Hii ni tuzo ya kwanza ambapo, Darassa amepata kutoka Boomplay kutokana na ngoma hiyo ya 'I Like It' kukonga nyonyo za mashabiki.
Akizungumzia ngoma hiyo iliyopma Tuzo, Darassa amesema kuwa namna alivyoanza kurekodi ilikuwa kama masihara lakini baadaye wakati wakiwa studio kila mtu alijikuta akishangaa ukali wa ngoma hiyo na kugeuza studio klabu kutokana na vibe kubwa.
"Kwenye kurekodi 'I Like It' ilikuwa ni joke(utani), kila kitu joke, tulikuwa tuko mbali na nyumbani, mimi nakaa Bahari Beach so kila mtu alikuwa kule Fatah, Abbah. Baada ya kupiga msosi Abbah alicheza beat mbalimbali ndiyo tukakutana na hii ya 'I Like It' na mwenyewe producer alisema kuwa hii ni beat ambayo anaipenda sana lakini hakutaka kumpa artist yeyote kwa sababu anaamini hii ni beat kubwa sana.
"Akasema mimi ni mtu ambaye naweza kufanya kitu, tukaanza kuimba na kila kitu ambacho nilikuwa nikiimba kama utani nilikuwa naambiwa usitoe, nilikuwa naweka njia ili nikae niandike vitu, nipange muziki ukaaje. Saa moja mpaka saa mbili tukageuza studio kuwa klabu," Darassa amesema wakati akifanyiwa mahojiano na Boombuzz.
Darassa pia ameizungumzia albamu yake ya 'Slave Becomes A King' amesema kuwa ni albamu bora kutokana na kuiandaa muda mrefu na kuwasihi mashabiki wake pamoja na wapenzi wote wa muziki kutembelea app ya Boomplay na kufurahia muziki mzuri.
"Ni albamu ambayo imetengenezwa kwa muda mrefu, kwenye moments tofauti tofauti, feelings tofauti tofauti, furaha na maumivu tofauti tofauti."
Boombuzz Exclusive With Darassa
Amesema kishindo cha albamu hiyo kimesababisha wasanii wengi wa muziki kuingia studio kutengeneza albamu, hivyo ni jambo analojivunia kwa kiasi kikubwa.
Unaweza kusikiliza ngoma yake ya 'I Like It' aliyomshirikisha Sho Madjozi hapo chini kupitia Boomplay.
#Trending #Music #BoomplayAward #ILikeIt #Darassa #ShoMadjozi
Comments (80)
New Comments(80)
Hajaxeoehx
hally issah
nice darassa
cute beanca
[0x1f618][0x1f618][0x1f618][0x1f618][0x1f618]umetisha san
asanee
CX na gn ga na gf MX hahaha gf et yay his haha had oz pas is IRA is kish kHz JC is did
Epton Michael
Jivunie vile ulivyo na kila ufanyacho usije kuthubutu kukata tamaa ...huwezi kujua unawatu wangapi nyuma yako unaowashawishi (inspire) wanatamani ulipo au wafanye unachofanya ..... lakini pia kumbuka kuna watu watakuwa wanashindana na wewe kama adui hawatokuambia na wala hutojua kwann wanashindana ... ila lengo lao wanataka ukose wao wapate wanatamani wawe juu wewe chini! God over everything (GOE).Jivunie vile ulivyo na kila ufanyacho usije kuthubutu kukata tamaa ...huwezi kujua unawatu wangapi nyuma yako unaowashawishi (inspire) wanatamani ulipo au wafanye unachofanya ..... lakini pia kumbuka kuna watu watakuwa wanashindana na wewe kama adui hawatokuambia na wala hutojua kwann wanashindana ... ila lengo lao wanataka ukose wao wapate wanatamani wawe juu wewe chini! God over everything (GOE).Jivunie vile ulivyo na kila ufanyacho usije kuthubutu kukata tamaa ...huwezi kujua unawatu wangapi nyuma yako unaowashawishi (inspire) wanatamani ulipo au wafanye unachofanya ..... lakini pia kumbuka kuna watu watakuwa wanashindana na wewe kama adui hawatokuambia na wala hutojua kwann wanashindana ... ila lengo lao wanataka ukose wao wapate wanatamani wawe juu wewe chini! God over everything (GOE).Jivunie vile ulivyo na kila ufanyacho usije kuthubutu kukata tamaa ...huwezi kujua unawatu wangapi nyuma yako unaowashawishi (inspire) wanatamani ulipo au wafanye unachofanya ..... lakini pia kumbuka kuna watu watakuwa wanashindana na wewe kama adui hawatokuambia na wala hutojua kwann wanashindana ... ila lengo lao wanataka ukose wao wapate wanatamani wawe juu wewe chini! God over everything (GOE).
Soudy99,
gag me I am a few years older and the middle of the 6th year is 6AM in a lot more ways to do this and the middle of the month I have to be
Erick danield0ugq
[0x1f618]
nasrawatna watna
god bless you
Modestad7cjg
Nyc darasa keep it up bro
james1112
Touch and hold a clip to pin it. Unpinned clips will be deleted after 1 hour.
BMboybeats tz
congratulations broo
122815834
.[0x1f609][0x1f609]
tunafanya vitu vyetu mda wetu[0x1f613][0x1f603][0x1f613][0x1f608][0x1f608]
Nc