#InfluencersPlaylist: Sikiliza 'Midundo Ya Black Santa', ya Mx Carter!
Kwa sasa Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo zina ushawishi mkubwa kwenye upande wa tasnia ya burudani hususan muziki.
Mbali na kuwa na idadi kubwa ya wasanii, vile vile kuna idadi kubwa ya watu wenye ushawishi kwenye sanaa ya muziki katika ama kushauri au ku-push kazi za sanaa.
Kwa kutambua umuhimu wa watu hao, Boomplay imewapa nafasi ya kutengeneza playlist ambazi zimejaa ngoma kali. Hapo chini tumekuwekea playlist ya 'Midundo ya Black Santa' ambayo imetengenezwa na moja ya wadau wakubwa na wanaoheshimika kwenye tasnia ya muziki, Mx Carter.
Miongoni mwa ngoma zilizopo kwenye playlist hii ni pamoja na 'Bembeleza' kutoka kwa Quick Rocka ambayo amemshirikisha Joh Makini, 'Lissa' ya Rapcha, 'Banjuka' ya Rosa Ree pamoja na nyingine kibao. Bofya na usikilize hapo chini.
#Trending #Music #MidundoYaBlackSanta #MxCarter
Comments (9)
New Comments(9)
kenoc7bfd
Joseph Momanyido4um
great great great great great great great great great great great great great great great great
kennedebxcp
Chris fb FD CDC dffvcddccxxdcccfcgcff man character FCC FCC f FCC fb FCB CV db fb fb fb CV CV xcchg mg
Abdallah seleman wagairo
TOGETHER
Dotto Seleman
good
am rodney
[0x1f631][0x1f631][0x1f631]
Abdraim lwega Mariz
nkweli lakin kuna nyimbo zingine xiyo za kuelimisha jamii
Fomywizzy
wow
Mwandu Msendo
[0x1f619][0x1f619][0x1f619][0x1f619]
Havana jalapa Jakarta issues ya yall kHz Nana na Baja ha ha DJ ha ha Dhaka ha Kala nama MX MX haka ha