Hua Wangu
Mavokale!!
Huuu aaah! Waaah!
Huuuu hua huaaa aah! Hua! Aaah
Huuuh hua aaa! Aaah!!
Verse I
Ni busu ni kubusu si vingine!
Manukato yako yananukia vizuri
Jina lako tamu mizimu yangu hukupenda
Ni vute nyuma yako, tukimbizane kama panzi
Mpenzi wangu nimekuringanisha na wengine ehhee!
Shingo yako ohhoo! ya ng’aa kama vito vya tanzanite ihhi!
Ukisimama mbele ya ukuta wa nyumba yetu nitachungulia dirishani,
Chorus 1
Hua wangu uuh!
Mafichoni mwa jabali! Hata jua lipunge na vivuli vikimbie nawe unigeukie,
Eheeh!
Uwe kama paa juu ya vilima vya asili ya kwetu kwilela!
(visiwa) ukerewe, Baby unajua nakupenda
Nami nataka we unizalie
Yaa fololo, motema na bolingo
Nakei kasilobi, nakozonga mobembo
Ezali udeliwa teoo! Tutika na mboka
Mopaya kasilobi nakozonga…………..
Nakupenda bebe nangai eeeh!
Nahitaji iii tuzae watoto,
Sherrie nangai eeh
Aahhaa!...mmmhh….!
Bebeeeh!
Eeeh!
Kitandani usiku nitakutafuta
Nywele zako kama kundi la mbuzi ih
Meno yako kama kundi la kondoo bebe,
Niliapa nitapanda huo..... Listen and download music for free on Boomplay!...more
Hua Wangu (1)
Title
Artist
-
1
More Albums by Melody Mbassa More
-
10
-
54
-
2,361
-
193
-
610
-
1,234
-
533
-
260
-
392
-
583
-
359
-
342
-
487
-
5,893
-
5,596
-
4,431
-
8,696
-
18k
-
24.2k
-
103.7k
-
89.3k
-
21k
Hua Wangu is a music album released in 2022. Hua Wangu has 1 songs sung by Melody Mbassa. Listen to all songs in high quality and download Hua Wangu songs on boomplay.com.
Related Tags: Hua Wangu, Hua Wangu songs, Hua Wangu songs download, download Hua Wangu songs, listen Hua Wangu songs, Hua Wangu MP3 songs
Hua Wangu
Mavokale!!
Huuu aaah! Waaah!
Huuuu hua huaaa aah! Hua! Aaah
Huuuh hua aaa! Aaah!!
Verse I
Ni busu ni kubusu si vingine!
Manukato yako yananukia vizuri
Jina lako tamu mizimu yangu hukupenda
Ni vute nyuma yako, tukimbizane kama panzi
Mpenzi wangu nimekuringanisha na wengine ehhee!
Shingo yako ohhoo! ya ng’aa kama vito vya tanzanite ihhi!
Ukisimama mbele ya ukuta wa nyumba yetu nitachungulia dirishani,
Chorus 1
Hua wangu uuh!
Mafichoni mwa jabali! Hata jua lipunge na vivuli vikimbie nawe unigeukie,
Eheeh!
Uwe kama paa juu ya vilima vya asili ya kwetu kwilela!
(visiwa) ukerewe, Baby unajua nakupenda
Nami nataka we unizalie
Yaa fololo, motema na bolingo
Nakei kasilobi, nakozonga mobembo
Ezali udeliwa teoo! Tutika na mboka
Mopaya kasilobi nakozonga…………..
Nakupenda bebe nangai eeeh!
Nahitaji iii tuzae watoto,
Sherrie nangai eeh
Aahhaa!...mmmhh….!
Bebeeeh!
Eeeh!
Kitandani usiku nitakutafuta
Nywele zako kama kundi la mbuzi ih
Meno yako kama kundi la kondoo bebe,
Niliapa nitapanda huo.....
Comments (1)
0/500
New Comments(1)
mteko melody™
nice