Zungusha (1)
-
1
More Albums by Madini More
Zungusha is a music album released in 2022. Zungusha has 1 songs sung by Madini. Listen to all songs in high quality and download Zungusha songs on boomplay.com.
Related Tags: Zungusha, Zungusha songs, Zungusha songs download, download Zungusha songs, listen Zungusha songs, Zungusha MP3 songs
Zungusha
Comments (10)
Top Comments (5)
Fadhili Mohamedi4lyt
Paulo Kikoti
Madini voice is just another level[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]. Incomparable. He never disappoints[0x1f619][0x1f619][0x1f619]>
Neema Msasa1wjby
Safi sana. Upcoming musicians[0x1f603][0x1f603][0x1f603] mtaweza kweli?[0x1f60d][0x1f60d][0x1f60d] WATU WAMEJIPANGA AISEEE>
New Comments(10)
Sarah Mfikwa
Nilikuwa namchukulia poa uyu MADINI Sasa nimeanza kumuelewa anajua aisee #Zungusha to the world The combo is just Mabantu nao wamewakilisha poa sana[0x1f60d][0x1f60d][0x1f60d]
Samson eliezer
Acha muziki uongeee Wababe watatu wamekutana katika wimbo mmoja Je nini kitatokea? Like bombshell
Alphonce Khadeha
Ni zaidi ya wimbo wa singeli kwa kweli, hawa watu hawastahili chochote zaidi ya heshima
Raymond Lengereri
Huu wimbo unaimba katika kichwa changu kila time[0x1f641] Unastahili 500K views[0x1f63f][0x1f63f] Top 5 trending video/music
Rashidi Mussa4ceh8
Huu wimbo unaenda kubadili karia ya muziki ya MADINI maana inastahili hata kuchukua tuzo za EAST AFRICA[0x1f636][0x1f636][0x1f636][0x1f621]
Paulo Kikoti
Madini voice is just another level[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]. Incomparable. He never disappoints[0x1f619][0x1f619][0x1f619]
Neema Msasa1wjby
Safi sana. Upcoming musicians[0x1f603][0x1f603][0x1f603] mtaweza kweli?[0x1f60d][0x1f60d][0x1f60d] WATU WAMEJIPANGA AISEEE
Frank Maisha
Aisee Madini na hawa mabantu, wamefanya nionekane chizi huku! jinsi ninavyo imba huu wimbo kila wakti jamani[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
Festo Kitule
Habari ya mjini kwa sasa ndio hiii[0x1f612][0x1f603][0x1f60d][0x1f60d][0x1f60d]
Fadhili Mohamedi4lyt
Sipingi na wala sikatai madini unajua sanaa[0x1f627] hawa madogo kamawamekaa vile[0x1f621][0x1f621]
Sipingi na wala sikatai madini unajua sanaa[0x1f627] hawa madogo kamawamekaa vile[0x1f621][0x1f621]>