![Why Me?](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/26/48956b1034a64eea8072ba03706e897e_320_320.jpg)
Why Me?
PENZI BAHARI
Penzi bahari bahari bahari,
Kenny mackdzoo,
Bahari bahari,
Kama mapenzi Bahari,
mwenzenu nishazama zamani,
Haya mapenzi nikitu gani
Yaniumiza moyo wangu.
Nashindwa nimpende nani?
Nakila nikipenda hua kilioni.
Niacheni namoyo wangu,
Nitapata wakumupenda.
Moyo wangu una kwarazika,
Mimi naona wivu.
Nikiona mwenzio nawake,
wakitembea Barabarani.
Wakicheka waniumiza,
Aha aha aha
Kwakua Mimi sina musaidizi,
Mimi naona wivu.
Nikiona mwenzio nawake
sina wakunipa penzi
Kwangu penzi ndo bala ahaa ahaa.
Penzi bahari bahari bahari.(nisha zama zamani)
Penzi bahari bahari bahari iii
Penzi bahari bahari bahari.(nisha zama zamani)
Penzi bahari bahari bahari iii
Okey,,,,,, okey
Siwezi wadanganya,
sikua poa na my wife carolina.
Vitu alikua akifanya,
kwa life yangu sikuwai kupenda
Na kwa life yangu Niyeye nilikua tu nampenda
Sikujua kama kuna siku tutatengana
Sinywi pombe sivuti sigara,
nawala sijui kuchana
Niliona kama nindoto lakini siwezi ota mchana
Pressure, mawazo ikazid Listen and download music for free on Boomplay!...more
Why Me? (1)
Title
Artist
-
1
More Albums by Mackdizzo
Why Me? is a music album released in 2021. Why Me? has 1 songs sung by Mackdizzo. Listen to all songs in high quality and download Why Me? songs on boomplay.com.
Related Tags: Why Me?, Why Me? songs, Why Me? songs download, download Why Me? songs, listen Why Me? songs, Why Me? MP3 songs
Why Me?
PENZI BAHARI
Penzi bahari bahari bahari,
Kenny mackdzoo,
Bahari bahari,
Kama mapenzi Bahari,
mwenzenu nishazama zamani,
Haya mapenzi nikitu gani
Yaniumiza moyo wangu.
Nashindwa nimpende nani?
Nakila nikipenda hua kilioni.
Niacheni namoyo wangu,
Nitapata wakumupenda.
Moyo wangu una kwarazika,
Mimi naona wivu.
Nikiona mwenzio nawake,
wakitembea Barabarani.
Wakicheka waniumiza,
Aha aha aha
Kwakua Mimi sina musaidizi,
Mimi naona wivu.
Nikiona mwenzio nawake
sina wakunipa penzi
Kwangu penzi ndo bala ahaa ahaa.
Penzi bahari bahari bahari.(nisha zama zamani)
Penzi bahari bahari bahari iii
Penzi bahari bahari bahari.(nisha zama zamani)
Penzi bahari bahari bahari iii
Okey,,,,,, okey
Siwezi wadanganya,
sikua poa na my wife carolina.
Vitu alikua akifanya,
kwa life yangu sikuwai kupenda
Na kwa life yangu Niyeye nilikua tu nampenda
Sikujua kama kuna siku tutatengana
Sinywi pombe sivuti sigara,
nawala sijui kuchana
Niliona kama nindoto lakini siwezi ota mchana
Pressure, mawazo ikazid
Comments (0)
0/500
New Comments(0)
What do you think of this album?